E-mail from Anonymous Dec.22


VP SAYS NO UGUNJA/PEMBA RIFT
Tanzanian Vice-President Omar Ali Juma has said that results of the October multi-party elections in Zanzibar were a testimony of the country's political maturity and commitment to enhancing democracy and not a rift between the two islands of Pemba and Ugunja.
The Vice President refuted reports that the results signified disunity between the Pemba and Unguja Islands.
The ruling Revolutionary Party (CCM) emerged victorious in 26 constituencies of Unguja while the opposition Civic United Front (CUF) swept votes in all 21 constituencies of Pemba and three constituencies of Unguja.
Juma was speaking to the French ambassador to Tanzania, Alain du Boispean, who paid a courtesy call on him in Dar es Salaam.
The Vice President said that it had been the habit of Pemba residents to accept the decision of the majority after the elections were over, although their stand could have been different during the elections.
He cited the 1985 elections when many Pemba residents rejected the former President Idris Abdul Wakil. This, he added, did not derail the solidarity between the two islands.
Juma said the fact that a massive crowd turned up last week in Pemba to welcome the Zanzibar President, Salmin Amour, was proof that the residents had relegated their political confrontation to the backyard and were now waiting to participate in development activities.

Features Africa Network or Africa Online, Ltd. or Africa Online, Inc. For more information send a message to info@AfricaOnline. Com or info@AfricaOnline. co.ke, or call +1 (617) 494-0215. Back issues and news from other countries are available on the World Wide Web, at Africa Online(SM) News Stand http://www.AfricaOnline.Com.
DAR ES SALAAM(Reuter), Dec 1 By: Matt Bigg
Newly-elected Tanzanian President Benjamin Mkapa has rounded off his first week in office by declaring total war on widespread corruption and tax evasion that has cost the poor country millions of dollars.
"I won't compromise on corruption and I will never forgive any government member of whatever position and cadre who is proved to be corrupt," Mkapa said in his policy statement.
The statement was presented to parliament late on Thursday.
Ordinary Tanzanians have in recent years joined Western donors in expressing deep concern at spiralling corruption at all levels of government -- starting with the rule of president Julius Nyerere after independence in 1961 and increasing with the rise of Ali Hassan Mwinyi to power in 1985.
Under Tanzanian law Mwinyi could not seek re-election this year because he had already served two five-year terms.
Mkapa pledged to track down and severely punish tax evaders, cut government spending and financial misuse and would work to end rampant indiscipline within the public service.
Mkapa's speech marked a radical change of tone from the era of Mwinyi and appeared to signal Mkapa's intention to deliver a campaign pledge targeting corruption as a top priority.
Dar es Salaam newspapers on Friday praised Mkapa's tone.
"Mkapa wastes no time in laying down the law," ran the headline in one English-language daily.
Even opposition politicians, who complain that the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM, Party for the Revolution) used unorthodox means to remain in power, welcomed Mkapa's speech and a cabinet announced last week that swept the old guard away.
Mkapa reduced government ministries from 29 to 18 and retained only six members of Mwinyi's cabinet.
One opposition official said that Mkapa was implementing sweeping reforms that his colleagues had campaigned for.
"We cannot deny that (so far) Mkapa is trying his level best to bring in new faces and we are encouraged by the changes that may happen," Japhet Hassunga, spokesman of the opposition NCCR-Mageuzi party, told Reuters on Friday.
Mkapa was sworn in as third president of post-independence Tanzania last week after landmark but chaotic pluralist polls.
Mkapa and his former cabinet colleague and main challenger, Augustine Mrema of NCCR-Mageuzi, had campaigned hard against corruption that experts say has grown as a by-product of economic reforms started by Mwinyi in 1985.
Independent economists say corruption syphons off up to 20 percent of money from the productive sector.
Mkapa's victory ensured continuation of more than three decades of rule under CCM. But analysts said Mkapa appeared prepared to shift the potentially rich country to some real-time riches by improving earnings from agriculture and mining.
Mkapa warned of a possible crackdown on the press -- saying newspapers would be responsible for libel and defamation.
World Bank statistics show Tanzania as the sixth poorest country.
(c) Reuters Limited 1995
UCHA-GUZI AU UCHA-WI-ZI ZANZIBAR ?(in Swahili)
Election or only Theft Zanzibar?
Makala haya yanakusudia kuchambua na kudadisi matokeo ya Ucha-guzi wa Zanzibar kuambatana na takwimu dhahiri na fasaha za Serikali ya Zanzibar. Makisio haya ambayo yataendelea kubaki kama ni makisio na sio majibu halisi ya matokeo ya Uchaguzi huo ni jaribio la kutaka kutoa muangaza kuhusu tafsiri ya matokeo yenyewe kwa kutumia njia nyengine kabisa ambayo bado haijatumika. Madhumuni ya makala haya sio kuamua nani mshindi. Wazanzibari kazi hiyo wamekwisha ifanya kwa uadilifu wa kupigiwa kifani. Makala haya ni msaada tu kwa wale wanaohusika na kuwa na uwezo na madaraka ya kupitisha uamuzi wa haki, ikiwa wanaamini kwamba haki si lazima iwe katika ghala ya CCM pekee. Ingawa ushahidi mwingi umekwisha tolewa kuhusu suala hili na kudhihirishwa bila ya shaka yoyote ni nani aliye mshindi, makala haya yatayakisia matokeo hayo kwa pembe nyengine kabisa. Ingawaje, pale itapobidi, mithali za takwimu za chaguzi za Zanzibar zilizokwisha tolewa zita-tumika ili kuzidi kuleta hoja dhahiri . Kadhalika itakuwa ni jambo lisilomkinika kuweza kuchambua matokeo ya uchaguzi huo bila ya kuazima takwimu kutoka Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (TUZ) na kufananisha na takwimu sahihishi za CUF, ingawaje tafsiri yenyewe haitegemei hususan na matokeo ya mwisho ya takwimu hizo. Kama ilivyonukuliwa hapo juu, ili kuweza kuelewa hali hii halisi imebidi kutumia njia na tafsiri nyengine kabisa na zile zilizotumika hadi hii leo, yaani kuchunguza vitimbi kabla ya uandikishaji wenyewe kuanza. Nyingi au karibu jawabu zote za masuala hayo hayatajibiwa na makala haya bali anawachiwa msomaji mwenyewe atowe jawabu lake. Suala muhimu na la kwanza ni kwa nini Serikali ya Zanzibar ikajigharimisha kununua karatasi za kura kwa fedha za kigeni kutoka Afrika ya Kusini badala ya kupokea karatasi za kura za bure zilizotolewa na Uingereza, pili kwa nini wakaagizia kuchapishwa kwa idadi ya nusu milioni ikiwa wapiga kura hawakupitilia hata laki tatu na nusu ? Jee serikali ya Zanzibar ina mapesa mengi ya kigeni hata hawajui wazitumie vipi? Kwa nini waangalizi huru wa uchaguzi pamoja na upinzani hawakuruhusiwa kushiriki katika taratibu za uandikishaji? Kwa nini Tume haijawa na wajumbe huru na wa kutoka upinzani? Kwa nini CUF walikataliwa kuzipitia orodha za kura zote kabla ya kura zenyewe kupigwa? Kwa nini kukapitishwa sheria za miaka mitano? Jee, CUF wanaposema MAITI walivishwa kanzu na kofia, wakavaliswa na makubadhi, suti na tai, kanga na mabuibui na kupelekwa kwenda kupiga kura; wanavyosema hivyo wanakuwa wanatia chumvi au huo ndio ukweli wenyewe ulivyo? Jee, tuwaamini CUF, wanaposema wagonjwa wa akili na wagonjwa wa kawaida nao wamepigiwa kura au tusiwaamini? Magari ya serikali na ya CCM yanasemekana yakitanga tanga kupeleka wapiga kura wao katika vituo vingine kupiga kura baada ya kwisha kupiga kura sehemu zao. Eti kweli kuna watu kutoka nchi jirani wengine wakiishi Mahotelini nao pia walipewa uwezo wa kuipigia kura CCM ? Katika kusaidia kujibu masuala haya itatumika Takwimu rasmi ya serikali ya Zanzibar kuonyesha jinsi wakaazi wa Zanzibar walivyogawanyika, kwa asilimia, katika sehemu mbali mbali za Unguja. Kuambatana na mgawanyiko huo yatatolewa makisio ya wale watu waliotarajiwa kupiga kura katika sehemu hizo, pakitumika hesabu za TUZ. Ingawa kuna masuala mengi kuhusu uchaguzi huo, imeamuliwa kufumbia macho na kukubali idadi ya jumla ya TUZ ya watu wote waliojiandikisha, yaani 328977. Idadi hii ndio itakayo kuwa kiini cha uchambuzi wa hesabu hizo. Kwa mujib wa makisio ya takwimu za Wakaazi wa Zanzibar, zilizotolewa na Idara ya Takwimu ilio kwenye Wizara ya Nchi ambayo nayo iko chini ya Ofisi ya Rais, Wazanzibari kiasi cha asilimia 57 ni wakaazi wa Unguja na watu wa Pemba ni asilimia 43 ya wakaazi wote wa Zanzibar. Idadi ya watoto wadogo chini ya miaka 18 (yaani wasiyokuwa na kura) wanakisiwa kuwa asilimia 49.84 na wazee wanaopitilia miaka 64 kuwa ni asilimia 2.8, makundi mawili haya yanatimiza asilimia 52.64 ya wakaazi wote wa Zanzibar, makundi mawili haya haya - dhaniwi kushiriki katika upigaji kura. Kwa hivyo kiwango cha asilimia 47.36 tu ndiyo sehemu inayotarajiwa kuwa na uwezo wa kupiga kura na sio lazima wawe wale waliojiandikisha kupiga kura yenyewe. Watu hawa wanaofanya asilimia 47.36 wakichukuliwa kwamba wote walikuwako Zanzibar wakati wa Uchaguzi na wote walijiandikisha, walikuwa hawaumwi, hawakusafiri, hawajafa, hawaogopi na hawajapuuza au kudharau . Ingawaje tunajua kwamba watu walio kiasi cha 25 000 walizuiliwa kujiandikisha katika uchaguzi wa baraza la Wawakilishi na Udiwani na wengi wengine walikimbia nchi siku za Uchaguzi kutokana na vitisho. Watu wanaosemekana wamejiandikisha ni 328 977, idadi hii haijabadilika, yaani haipungui wala kuzidi, katika chaguzi mbili tafauti, yaani wa Baraza la Wawakilishi, ambapo sheria ya miaka mitano iliwanyima watu haki ya kupiga kura za Wawakilishi na katika Uchaguzi wa Rais ambapo waliruhusiwa kumpiga kura ya kumchagua Rais. Kwa mujib wa takwimu za mgawanyiko wa wakaazi, wale waliojiandikisha Unguja watatarajiwa wawe na asilimia 57 (yaani watu 187517) ya waliojiandikisha na Pemba kuwa na asilimia 43 (yaani watu 141460). Kwa mujib wa jumla ya kura za takwimu ya TUZ, Unguja ilikuwa na kura 208 221, yaani asilimia 63 na sio 57 kama ianvyotarajiwa , na Pemba kuwa na kura 120756, yaani asilimia 37 na sio 43. Kwa hivyo Unguja ilikuwa na kura 20704 zaidi kuliko ilivyokuwa ikitarajiwa na Pemba kuwa na kura 20704 kasoro kuliko ilivyotarajiwa kwa mujib wa takwimu za idara iliyo katika Wizara ya Nchi chini ya Ofisi ya Rais. Kuambatana na usambazaji wa wakaazi kwa mujib wa takwim ya serikali, idadi ya wapiga kura wanasambazika kama ifuatavyo kwa visiwa vya Unguja pekee: (njama za CCM Pemba zimeshindwa, kwa hivyo Pemba haitaingizwa katika uchunguzi huu) UNGUJA . Mjini asilimia 23.1 ya waandikwa 328977 75994 Magharibi asilimia 6.9 22699 Kati asilimia 6.3 20726 Kusini asilimia 4.6 15133 Kaskazini A 10.1 33227 Kaskazini B asilimia 6.1 20068 Idadi ya kura zilizotolewa na TUZ Unguja . Mjini 82092 badala ya 75994 Magharibi 35658 " " 22699 Kati 22533 " " 20726 Kusini 12878 " " 15133 Kaskazini A 31603 " " 33227 Kaskazini B 17397 " " 20068 UNGUJA KASORO/ ZIADA Mjini 82092 - 75994 = 6098 Magharibi 35658 - 22699 = 12959 Kati 22533 - 20726 = 1807 Kusini 12878 - 15133 = -2255 Kaskazini A 31603 - 33227 = -1624 Kaskazini B 17397 - 20068 = - 2671 . Kura zilizozidi matarajio ya takwimu = 14314 Kura za Unguja toa zilizozidi 208221 - 14314 = 193907 -kura halisi Unguja Kura za CCM Unguja toa zilizozidi 144408 - 14314 = 130094 -kura halisi za CCM Kura halisi Unguja toa kura halisi CCM Unguja 193907 - 130094 = 63813 -kura halisi za CUF Ukijumlisha kura hizi za CCM za Unguja na zile za Pemba 130094 + 20863 = 150957 ~ 45.9% zile za CUF ni 63813 + 99893 = 163706 ~ 49.8% Jumla ya kura za CCM na CUF ni 150957 + 163706 = 314663 Tafauti baina ya kura zilizoandikishwa na ya jumla ya kura za CCM na za CUF kwa pamoja 328977 - 314663 = 14314 ~ 4.35% +45.88 + 49.76% ~ 100%. Kura halisi za CUF Unguja 63813 ni sawa sawa na zile kura CUF walizo pewa na Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar. Maajabu haya yanayodhihirisha kinaga ubaga kwamba kura halisi za CCM Unguja ni 130094 na kura za CUF Unguja ni 63813, kwa hivyo tume ya Uchaguzi imeipa CUF zile kura iliyostahiki kupata lakini CCM wamepewa kura 14314 zaidi katika Unguja pekee. Nani hasa aliyeipa CCM kura hizo ziada? Jee, ni Tume ya Uchaguzi au ni Tume nyegineyo, Tume ya Uchaguzi inaonyesha imepewa tu hayo matokeo kuyatangaza na wale walilolipika jungu hilo sana ni wawili watatu tu waliomo katika hiyo TUME YA SIRI. Ingawa inatumika idadi ya uandikishaji kura ya 3288977 uliotolewa na TUZ, hesabu bado zinaonyesha kuna utata. Suala la kujiuliza baada ya kupitia hesabu hizo ni kwamba jee huo kweli ulikuwa ni Ucha-guzi au Ucha-wi-zi ???? Msomaji jibu - suala lako hilo !!! Kutokana na ushauri wa watu ilipendekezwa kwamba hesabu za Pemba nazo ziingizwe katika makisio, kwa hivyo makisio ya Pemba kufuatana na takwimu ya Serikali ya Zanzibar na matokeo ya TUZ ni kama ifuatavyo: PEMBA . Wete asilimia 12.3 ya waandikwa 328977 40464 Micheweni asilimia 9.9 32569 Chake asilimia 9.9 32569 Mkoani asilimia 10.8 35530 Idadi ya kura zilizotolewa na TUZ Pemba . Wete 36185 badala ya 40464 Micheweni 28448 " " 32569 Chake 28121 " " 32569 Mkoani 28002 " " 35530 PEMBA KASORO Wete 40464 - 36185 = 4279 Micheweni 32569 - 28448 = 4121 Chake 32569 - 28121 = 4448 Mkoani 35530 - 28002 = 7528 Jumla 20376 Ikiwa asilimia 42.9 ya wakaazi wote wa Zanzibar wanaishi Pemba kwa hivyo sehemu ya waliojiandikisha wote, yaani 328977, itakuwa 141132 Idadi yote ya kura zilizotolewa na TUZ kutoka Pemba ni 120756 Kwa hivyo idadi iliyopunguwa kutoka Pemba ni sawa na 141132-120756 = 20376 Tafauti hii ya 20376 ni sawa sawa na ile jumla ya kura KASORO ya hapo juu. Katika sehemu ya kwanza tulikisia kwamba kura zilizopeperushwa kutoka Pemba kwenda Unguja ni 120756 idadi hii ni sawa na asilimia 37 badala ya 43 Makisio ya takwimu za mgawanyo wa asilimia wa wakaazi wa Unguja na Pemba yaliyotolewa na Serikali ya Zanzibar ndio yanayotumika kuzichunguza hesabu za kura zilizopigwa na kuadikishwa na TUZ. Wakati Unguja kwenye wana-CCM wengi zaidi kuliongezwa kura (14314); Pemba kwenye wana-CUF wengi zaidi kura zilipunguzwa (20376).
The letter from whom knows Zanzibar condition well.29.Oct.'95
E-mail from Tanzanian overseas.30.Oct.'95
E-mail from Tanzanian overseas 15.Nov.'95
E-mail from Anonymous Oct.31-Nov.3
E-mail from Tanzanian overseas 19.Nov.'95
E-mail from Anonymous Nov.25
E-mail from Anonymous Nov.26
back to Home page