E-mail from Anonymous Dec.22
VP SAYS NO UGUNJA/PEMBA RIFT
Tanzanian Vice-President Omar Ali Juma has said that results of the October
multi-party elections in Zanzibar were a testimony of the country's political
maturity and commitment to enhancing democracy and not a rift between the two
islands of Pemba and Ugunja.
The Vice President refuted reports that the results signified disunity
between the Pemba and Unguja Islands.
The ruling Revolutionary Party (CCM) emerged victorious in 26 constituencies
of Unguja while the opposition Civic United Front (CUF) swept votes in all 21
constituencies of Pemba and three constituencies of Unguja.
Juma was speaking to the French ambassador to Tanzania, Alain du Boispean,
who paid a courtesy call on him in Dar es Salaam.
The Vice President said that it had been the habit of Pemba residents to
accept the decision of the majority after the elections were over, although
their stand could have been different during the elections.
He cited the 1985 elections when many Pemba residents rejected the former
President Idris Abdul Wakil. This, he added, did not derail the solidarity
between the two islands.
Juma said the fact that a massive crowd turned up last week in Pemba to
welcome the Zanzibar President, Salmin Amour, was proof that the residents
had relegated their political confrontation to the backyard and were now
waiting to participate in development activities.
Features Africa Network or Africa Online, Ltd. or Africa
Online, Inc. For more information send a message to info@AfricaOnline. Com
or info@AfricaOnline. co.ke, or call +1 (617) 494-0215. Back issues and news
from other countries are available on the World Wide Web, at Africa
Online(SM) News Stand http://www.AfricaOnline.Com.
DAR ES SALAAM(Reuter), Dec 1 By: Matt Bigg
Newly-elected Tanzanian President Benjamin
Mkapa has rounded off his first week in office by declaring total war on
widespread corruption and tax evasion that has cost the poor country
millions of dollars.
"I won't compromise on corruption and I will never forgive any
government member of whatever position and cadre who is proved to be
corrupt," Mkapa said in his policy statement.
The statement was presented to parliament late on Thursday.
Ordinary Tanzanians have in recent years joined Western donors in
expressing deep concern at spiralling corruption at all levels of
government -- starting with the rule of president Julius Nyerere after
independence in 1961 and increasing with the rise of Ali Hassan Mwinyi to
power in 1985.
Under Tanzanian law Mwinyi could not seek re-election this year because
he had already served two five-year terms.
Mkapa pledged to track down and severely punish tax evaders, cut
government spending and financial misuse and would work to end rampant
indiscipline within the public service.
Mkapa's speech marked a radical change of tone from the era of Mwinyi
and appeared to signal Mkapa's intention to deliver a campaign pledge
targeting corruption as a top priority.
Dar es Salaam newspapers on Friday praised Mkapa's tone.
"Mkapa wastes no time in laying down the law," ran the headline in one
English-language daily.
Even opposition politicians, who complain that the ruling Chama Cha
Mapinduzi (CCM, Party for the Revolution) used unorthodox means to remain
in power, welcomed Mkapa's speech and a cabinet announced last week that
swept the old guard away.
Mkapa reduced government ministries from 29 to 18 and retained only six
members of Mwinyi's cabinet.
One opposition official said that Mkapa was implementing sweeping
reforms that his colleagues had campaigned for.
"We cannot deny that (so far) Mkapa is trying his level best to bring in
new faces and we are encouraged by the changes that may happen," Japhet
Hassunga, spokesman of the opposition NCCR-Mageuzi party, told Reuters on
Friday.
Mkapa was sworn in as third president of post-independence Tanzania last
week after landmark but chaotic pluralist polls.
Mkapa and his former cabinet colleague and main challenger, Augustine
Mrema of NCCR-Mageuzi, had campaigned hard against corruption that experts
say has grown as a by-product of economic reforms started by Mwinyi in
1985.
Independent economists say corruption syphons off up to 20 percent of
money from the productive sector.
Mkapa's victory ensured continuation of more than three decades of rule
under CCM. But analysts said Mkapa appeared prepared to shift the
potentially rich country to some real-time riches by improving earnings
from agriculture and mining.
Mkapa warned of a possible crackdown on the press -- saying newspapers
would be responsible for libel and defamation.
World Bank statistics show Tanzania as the sixth poorest country.
(c) Reuters Limited 1995
UCHA-GUZI AU UCHA-WI-ZI ZANZIBAR ?(in Swahili)
Election or only Theft Zanzibar?
Makala haya yanakusudia kuchambua na kudadisi matokeo ya
Ucha-guzi wa Zanzibar kuambatana na takwimu dhahiri na fasaha za
Serikali ya Zanzibar. Makisio haya ambayo yataendelea kubaki kama
ni makisio na sio majibu halisi ya matokeo ya Uchaguzi huo ni jaribio
la kutaka kutoa muangaza kuhusu tafsiri ya matokeo yenyewe kwa
kutumia njia nyengine kabisa ambayo bado haijatumika. Madhumuni
ya makala haya sio kuamua nani mshindi. Wazanzibari kazi hiyo
wamekwisha ifanya kwa uadilifu wa kupigiwa kifani. Makala haya ni
msaada tu kwa wale wanaohusika na kuwa na uwezo na madaraka ya
kupitisha uamuzi wa haki, ikiwa wanaamini kwamba haki si lazima iwe
katika ghala ya CCM pekee. Ingawa ushahidi mwingi umekwisha
tolewa kuhusu suala hili na kudhihirishwa bila ya shaka yoyote ni nani
aliye mshindi, makala haya yatayakisia matokeo hayo kwa pembe
nyengine kabisa. Ingawaje, pale itapobidi, mithali za takwimu za
chaguzi za Zanzibar zilizokwisha tolewa zita-tumika ili kuzidi kuleta
hoja dhahiri . Kadhalika itakuwa ni jambo lisilomkinika kuweza
kuchambua matokeo ya uchaguzi huo bila ya kuazima takwimu
kutoka Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (TUZ) na kufananisha na
takwimu sahihishi za CUF, ingawaje tafsiri yenyewe haitegemei
hususan na matokeo ya mwisho ya takwimu hizo.
Kama ilivyonukuliwa hapo juu, ili kuweza kuelewa hali hii halisi imebidi
kutumia njia na tafsiri nyengine kabisa na zile zilizotumika hadi hii leo,
yaani kuchunguza vitimbi kabla ya uandikishaji wenyewe kuanza.
Nyingi au karibu jawabu zote za masuala hayo hayatajibiwa na makala
haya bali anawachiwa msomaji mwenyewe atowe jawabu lake.
Suala muhimu na la kwanza ni kwa nini Serikali ya Zanzibar
ikajigharimisha kununua karatasi za kura kwa fedha za kigeni kutoka
Afrika ya Kusini badala ya kupokea karatasi za kura za bure
zilizotolewa na Uingereza, pili kwa nini wakaagizia kuchapishwa kwa
idadi ya nusu milioni ikiwa wapiga kura hawakupitilia hata laki tatu na
nusu ? Jee serikali ya Zanzibar ina mapesa mengi ya kigeni hata
hawajui wazitumie vipi? Kwa nini waangalizi huru wa uchaguzi pamoja
na upinzani hawakuruhusiwa kushiriki katika taratibu za uandikishaji?
Kwa nini Tume haijawa na wajumbe huru na wa kutoka upinzani?
Kwa nini CUF walikataliwa kuzipitia orodha za kura zote kabla ya kura
zenyewe kupigwa?
Kwa nini kukapitishwa sheria za miaka mitano?
Jee, CUF wanaposema MAITI walivishwa kanzu na kofia,
wakavaliswa na makubadhi, suti na tai, kanga na mabuibui na
kupelekwa kwenda kupiga kura; wanavyosema hivyo wanakuwa
wanatia chumvi au huo ndio ukweli wenyewe ulivyo?
Jee, tuwaamini CUF, wanaposema wagonjwa wa akili na wagonjwa
wa kawaida nao wamepigiwa kura au tusiwaamini?
Magari ya serikali na ya CCM yanasemekana yakitanga tanga
kupeleka wapiga kura wao katika vituo vingine kupiga kura baada ya
kwisha kupiga kura sehemu zao. Eti kweli kuna watu kutoka nchi jirani
wengine wakiishi Mahotelini nao pia walipewa uwezo wa kuipigia kura
CCM ?
Katika kusaidia kujibu masuala haya itatumika Takwimu rasmi ya
serikali ya Zanzibar kuonyesha jinsi wakaazi wa Zanzibar
walivyogawanyika, kwa asilimia, katika sehemu mbali mbali za
Unguja. Kuambatana na mgawanyiko huo yatatolewa makisio ya wale
watu waliotarajiwa kupiga kura katika sehemu hizo, pakitumika
hesabu za TUZ. Ingawa kuna masuala mengi kuhusu uchaguzi huo,
imeamuliwa kufumbia macho na kukubali idadi ya jumla ya TUZ ya
watu wote waliojiandikisha, yaani 328977. Idadi hii ndio itakayo kuwa
kiini cha uchambuzi wa hesabu hizo.
Kwa mujib wa makisio ya takwimu za Wakaazi wa Zanzibar,
zilizotolewa na Idara ya Takwimu ilio kwenye Wizara ya Nchi ambayo
nayo iko chini ya Ofisi ya Rais, Wazanzibari kiasi cha asilimia 57 ni
wakaazi wa Unguja na watu wa Pemba ni asilimia 43 ya wakaazi wote
wa Zanzibar.
Idadi ya watoto wadogo chini ya miaka 18 (yaani wasiyokuwa na kura)
wanakisiwa kuwa asilimia 49.84 na wazee wanaopitilia miaka 64 kuwa
ni asilimia 2.8, makundi mawili haya yanatimiza asilimia 52.64 ya
wakaazi wote wa Zanzibar, makundi mawili haya haya - dhaniwi
kushiriki katika upigaji kura. Kwa hivyo kiwango cha asilimia 47.36 tu
ndiyo sehemu inayotarajiwa kuwa na uwezo wa kupiga kura na sio
lazima wawe wale waliojiandikisha kupiga kura yenyewe. Watu hawa
wanaofanya asilimia 47.36 wakichukuliwa kwamba wote walikuwako
Zanzibar wakati wa Uchaguzi na wote walijiandikisha, walikuwa
hawaumwi, hawakusafiri, hawajafa, hawaogopi na hawajapuuza au
kudharau . Ingawaje tunajua kwamba watu walio kiasi cha 25 000
walizuiliwa kujiandikisha katika uchaguzi wa baraza la Wawakilishi na
Udiwani na wengi wengine walikimbia nchi siku za Uchaguzi kutokana
na vitisho.
Watu wanaosemekana wamejiandikisha ni 328 977, idadi hii
haijabadilika, yaani haipungui wala kuzidi, katika chaguzi mbili tafauti,
yaani wa Baraza la Wawakilishi, ambapo sheria ya miaka mitano
iliwanyima watu haki ya kupiga kura za Wawakilishi na katika
Uchaguzi wa Rais ambapo waliruhusiwa kumpiga kura ya kumchagua
Rais.
Kwa mujib wa takwimu za mgawanyiko wa wakaazi, wale
waliojiandikisha Unguja watatarajiwa wawe na asilimia 57 (yaani watu
187517) ya waliojiandikisha na Pemba kuwa na asilimia 43 (yaani
watu 141460). Kwa mujib wa jumla ya kura za takwimu ya TUZ,
Unguja ilikuwa na kura 208 221, yaani asilimia 63 na sio 57 kama
ianvyotarajiwa , na Pemba kuwa na kura 120756, yaani asilimia 37 na
sio 43. Kwa hivyo Unguja ilikuwa na kura 20704 zaidi kuliko ilivyokuwa
ikitarajiwa na Pemba kuwa na kura 20704 kasoro kuliko ilivyotarajiwa
kwa mujib wa takwimu za idara iliyo katika Wizara ya Nchi chini ya
Ofisi ya Rais.
Kuambatana na usambazaji wa wakaazi kwa mujib wa takwim ya
serikali, idadi ya wapiga kura wanasambazika kama ifuatavyo kwa
visiwa vya Unguja pekee: (njama za CCM Pemba zimeshindwa, kwa
hivyo Pemba haitaingizwa katika uchunguzi huu)
UNGUJA .
Mjini asilimia 23.1 ya waandikwa 328977 75994
Magharibi asilimia 6.9 22699
Kati asilimia 6.3 20726
Kusini asilimia 4.6 15133
Kaskazini A 10.1 33227
Kaskazini B asilimia 6.1 20068
Idadi ya kura zilizotolewa na TUZ Unguja .
Mjini 82092 badala ya 75994
Magharibi 35658 " " 22699
Kati 22533 " " 20726
Kusini 12878 " " 15133
Kaskazini A 31603 " " 33227
Kaskazini B 17397 " " 20068
UNGUJA KASORO/ ZIADA
Mjini 82092 - 75994 = 6098
Magharibi 35658 - 22699 = 12959
Kati 22533 - 20726 = 1807
Kusini 12878 - 15133 = -2255
Kaskazini A 31603 - 33227 = -1624
Kaskazini B 17397 - 20068 = - 2671 .
Kura zilizozidi matarajio ya takwimu = 14314
Kura za Unguja toa zilizozidi
208221 - 14314 = 193907 -kura halisi Unguja
Kura za CCM Unguja toa zilizozidi
144408 - 14314 = 130094 -kura halisi za CCM
Kura halisi Unguja toa kura halisi CCM Unguja
193907 - 130094 = 63813 -kura halisi za CUF
Ukijumlisha kura hizi za CCM za Unguja na zile za Pemba
130094 + 20863 = 150957 ~ 45.9%
zile za CUF ni 63813 + 99893 = 163706 ~ 49.8%
Jumla ya kura za CCM na CUF ni 150957 + 163706 = 314663
Tafauti baina ya kura zilizoandikishwa na ya jumla ya kura za CCM na
za CUF kwa pamoja 328977 - 314663 = 14314 ~ 4.35%
+45.88
+ 49.76%
~ 100%.
Kura halisi za CUF Unguja 63813 ni sawa sawa na zile kura CUF
walizo pewa na Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar.
Maajabu haya yanayodhihirisha kinaga ubaga kwamba kura halisi za
CCM Unguja ni 130094 na kura za CUF Unguja ni 63813, kwa hivyo
tume ya Uchaguzi imeipa CUF zile kura iliyostahiki kupata lakini CCM
wamepewa kura 14314 zaidi katika Unguja pekee. Nani hasa aliyeipa
CCM kura hizo ziada? Jee, ni Tume ya Uchaguzi au ni Tume
nyegineyo, Tume ya Uchaguzi inaonyesha imepewa tu hayo matokeo
kuyatangaza na wale walilolipika jungu hilo sana ni wawili watatu tu
waliomo katika hiyo TUME YA SIRI.
Ingawa inatumika idadi ya uandikishaji kura ya 3288977 uliotolewa na
TUZ, hesabu bado zinaonyesha kuna utata.
Suala la kujiuliza baada ya kupitia hesabu hizo ni kwamba jee huo
kweli ulikuwa ni Ucha-guzi au Ucha-wi-zi ???? Msomaji jibu - suala
lako hilo !!!
Kutokana na ushauri wa watu ilipendekezwa kwamba hesabu za
Pemba nazo ziingizwe katika makisio, kwa hivyo makisio ya Pemba
kufuatana na takwimu ya Serikali ya Zanzibar na matokeo ya TUZ ni
kama ifuatavyo:
PEMBA .
Wete asilimia 12.3 ya waandikwa 328977 40464
Micheweni asilimia 9.9 32569
Chake asilimia 9.9 32569
Mkoani asilimia 10.8 35530
Idadi ya kura zilizotolewa na TUZ Pemba .
Wete 36185 badala ya 40464
Micheweni 28448 " " 32569
Chake 28121 " " 32569
Mkoani 28002 " " 35530
PEMBA KASORO
Wete 40464 - 36185 = 4279
Micheweni 32569 - 28448 = 4121
Chake 32569 - 28121 = 4448
Mkoani 35530 - 28002 = 7528
Jumla 20376
Ikiwa asilimia 42.9 ya wakaazi wote wa Zanzibar wanaishi Pemba kwa
hivyo sehemu ya waliojiandikisha wote, yaani 328977, itakuwa 141132
Idadi yote ya kura zilizotolewa na TUZ kutoka Pemba ni 120756
Kwa hivyo idadi iliyopunguwa kutoka Pemba ni sawa na
141132-120756 = 20376
Tafauti hii ya 20376 ni sawa sawa na ile jumla ya kura KASORO ya
hapo juu. Katika sehemu ya kwanza tulikisia kwamba kura
zilizopeperushwa kutoka Pemba kwenda Unguja ni 120756 idadi hii ni
sawa na asilimia 37 badala ya 43
Makisio ya takwimu za mgawanyo wa asilimia wa wakaazi wa Unguja
na Pemba yaliyotolewa na Serikali ya Zanzibar ndio yanayotumika
kuzichunguza hesabu za kura zilizopigwa na kuadikishwa na TUZ.
Wakati Unguja kwenye wana-CCM wengi zaidi kuliongezwa kura
(14314); Pemba kwenye wana-CUF wengi zaidi kura zilipunguzwa
(20376).
The letter from whom knows Zanzibar condition well.29.Oct.'95
E-mail from Tanzanian overseas.30.Oct.'95
E-mail from Tanzanian overseas 15.Nov.'95
E-mail from Anonymous Oct.31-Nov.3
E-mail from Tanzanian overseas 19.Nov.'95
E-mail from Anonymous Nov.25
E-mail from Anonymous Nov.26
back to Home page